MTAALAM NUMBER MOJA WA MARKETING DUNIANI ATOA MAFUNZO KWA  WATANZANIA 

Leo April 27 2017 kampuni ya Mikono Speakers imefanikiwa kumleta Tanzania Victor Antonio ambaye ni mtaalam wa masoko duniani, Victor Antonio ni raia wa Marekani kwa sasa ndio anatajwa kuwa mtaalamu wa Sales namba moja duniani.

Antonio Victor ambaye amekuja Tanzania kwa mualiko wa kampuni ya Mikono Speakers leo April 27 alitoa fursa kwa kuwafundisha watu wa masoko vitu mbalimbali kuhusu sales, Victor ambaye kwa sasa ni namba moja ametoa mbinu kwa watu wa marketing wa kampuni tofauti kitu ambacho hufanya kwa mualiko maalum na ataendelea tena kesho April 28 katika ukumbu wa Julius Nyerere Posta Dar es Salaam.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s