NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI ATOA ONYO KALI 

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Hamad Masauni amesema kwamba,uhalifu wa aina yoyote utakao fanya na mtu yoyote,wa chama chochote, dhidi ya raia yoyote ikiwemo waandishi wa habari na Jeshi la Polisi, atachukuliwa hatua kali za kisheria.

Naibu Masauni ameyasema hayo mjini Dodoma wakati akijibu swali la mbunge wa Kilombero, Peter Lijualikali.

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s