JUKWAA LA WAHARIRI LAISHUKIA CUF 


​Jukwaa la Wahariri nchini (TEF) limelaani kitendo cha waandishi wa habari kujeruhiwa katika tukio la uvamizi lililotokea katika mkutano wa CUF hivi karibuni.

Akizungumza na wanahabari leo, Katibu wa Jukwaa hilo, Neville Meena amesema si salama wafuasi wa chama kujaa kwenye vyumba vya mikutano.

“CUF wajue kwa mara nyingine wapo  kuwa kwenye uangalizi tunawatazama, uamuzi unaweza kuwa wakati wowote kwa sababu tunatakiwa kuhakikisha watu wetu wapo salama,” amesema

Meena alilaani pia tabia ya baadhi ya viongozi wa CUF kuwapangia waandishi habari za kuandika.

“Ni wajibu wetu kusikiliza kila upande, habari ya kupangiwa cha kufanya au upande wa kuripoti sio la kwetu, kuna wanaodhani wanajua habari kuliko sisi tuliosomea.” amesema

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s