KESI YA MTUHUMIWA WA MAUAJI YA KIMBARI YAHAMISHIWA DAR ES SALAAM 

Mtuhumiwa wa mauaji ya kimbari nchini Rwanda Innocent Sagahutu amepelekwa makao makuu ya uhamiaji mkoani Dar es Salaam kwa ajili ya mahojiano.

Sagahutu alikamatwa hivi karibuni eneo la mpaka wilayani  Ngara alipokuwa akielekea Burundi.

Akizungumzia tukio hilo, Ofisa Uhamiaji mkoa wa Kagera Abdallah Tiwo alisema mtuhumiwa huyo amepelekwa makao makuu kwa ajili ya uchunguzi.  

“Ni kweli alikuwa anashikiliwa na uhamiaji mkoa wa Kagera,ila kwa sasa anaelekea Dar es salaam makao makuu ya uhamiaji.” alisema

Advertisements

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google+ photo

You are commenting using your Google+ account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

w

Connecting to %s